IQNA

Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa OIC

Vikao vya wataalamu na vya kamati za utekelezaji za Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa OIC vimeanza Jumamosi tarehe 13 na vitaendelea kwa siku tatu.