TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni kumesambaa klipu ya qarii Muirani, Mehdi Adeli, akisema aya za Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Katika klipu hii, Ustadh Adeli anasikika akisoma Sura al Fatiha kwa pumzi moja. Qiraa yake hiyo ilipokeleezwa vizuri na hadhirina.
3973793