IQNA

Ramadhani 1445 H

Ayatullah Khamenei akiwa kwenye mahfali ya kushikamana na kuwa karibu na Qur'ani

Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislam mnamo Machi 13, siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1445 H, kama ilivyo ada kila mwaka wakati huu, alishiriki kwenye mahfali ya kushikamana na kuwa karibu na Qur'ani Tukufu iliyofanyika jijini Tehran. Hizi hapa ni picha za tukio hilo lililojaa nuru.