iqna

IQNA

wanachuo
Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya akiwasisitizia kwamba, kikao chao mwaka huu kinafanyika baada ya kutokea matukio muhimu na kila moja ya matukio hayo linaonesha ukubwa na itibari ya Iran ya Kiislamu na taifa la kimapinduzi.
Habari ID: 3472406    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/25

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu wametangazwa leo Jumapili.
Habari ID: 3471488    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo imekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu duniani inahimiza nchi zingine za Kiislamu ziandae duru zijazo za mashindano hayo.
Habari ID: 3471486    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/28

Mjini Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu yameanza katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3471485    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA)-Washiriki 44 wamefuzu katika fainali ya Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu vya nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3471479    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/24

Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni mjumuiko wa viongozi wa baadaye wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470598    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/04

Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Wanafunzi Waislamu katika jiji la New York wamekuwa wakikabiliwa na miamala ya kibaguzi na kuvunjiwa heshima kutokana na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu nchini Marekani.
Habari ID: 2954393    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/09

TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh 2671946
Habari ID: 2672141    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05

Mwenyekiti wa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran amesema lengo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni kuimarisha itikadi za wanafunzi wa vyuo vikuu katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuhuisha umoja wa Waislamu kueneza ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 2666237    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01

Tehran (IQNA)- Kongamano la kimataifa lenye anuani ya “Umoja wa Kimataifa Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Hadithi” linatazamiwa kufanyika Tehran, Ijumaa tarehe pili Januari.
Habari ID: 2626656    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/25

Mtaalamu mwashuhuri wa Qur'ani kutoka Misri amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni hatua muhimu katika umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 1442398    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/24