iqna

IQNA

misikiti
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya misikiti 800 nchini Ujerumani ililengwa kwa vitisho au ilishambuliwa na wenye chuki dhidi ya Uislamu kuanzia 2014 hadi 2022.
Habari ID: 3475364    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)- Paundi milioni 24.5 zimetengwa kwa ajili ya usalama katika maeneo ya ibada na shule nchini Uingereza.
Habari ID: 3475273    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imesema misikiti na maeneo yote ya ibada nchini humo yanaweza kuanza tena shughuli za kawaida kama ilivyokuwa kama ya janga la corona.
Habari ID: 3475218    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri misikiti ni nchini Misri sasa watapata mafunzo maalumu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, intaneti na mabadiliko ya kidijitali.
Habari ID: 3475215    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA)-Misikiti nchini Kuwait imeanza kutekeleza kanuni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 baada ya maambukizi kuongezeka nchini humo.
Habari ID: 3474778    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Misikiti kote Saudi Arabia imetakiwa kuchukua hatua kali za kuhakikisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada wanatekeleza kanuni za kukabiliana na COVID-19.
Habari ID: 3474717    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu wametangaza kuwa, wanawake sasa wataruhusiwa tena kusali misikiti ni baada ya maeneo yao kufungwa kwa muda kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474539    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza Ijumaa kuwa masanduku ya misaada ni marufuku katika misikiti kote Misri.
Habari ID: 3474529    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imetangaza kuwa darsa za Qur’ani na kidini pamoja na harakati nyingine za kiutamaduni zitaruhusiwa tena ndani ya misikiti .
Habari ID: 3474519    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika jimbo la Tripura kaskazini mashariki mwa India wameitaka serikali ya nchi hiyo ichukue hatua za kuzuia magenge ya Wahindu wenye misimamko mikali kuwashambulia Waislamu na misikiti .
Habari ID: 3474487    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA)- Misikiti 225 kote katika mji mkuu wa Jamuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, imejunga na kampeni maalumu ya kuwapa chanjo waumini katik kipindi cha siku 20.
Habari ID: 3474436    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18

TEHRAN (IQNA)- Baadhi ya manispaa nchini Uholanzi zinafanya upekuzi na upelelezi wa siri kinyume cha sheria katika misikiti na taasisi za Kiislamu kupitia mashirika binafsi ya upelelezi.
Habari ID: 3474434    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar imefuta kanuni ya kutokaribiana na kutogusana (social distancing) misikiti ni wakati wa Sala sambamba na kufungua tena maeneo ya kutawadha.
Habari ID: 3474390    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikiti ni baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474346    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

TEHRAN (IQNA) - Polisi wanachunguza shambulio la kuchoma moto msikiti huko Greater Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3474286    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12

TEHRAN (IQNA)- Misikiti imefunguliwa tena Lebanon baada ya kufungwa kwa muda mrefu kutokana na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474003    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya misikiti Marekani inaendelea kuongezeka ambapo mwaka 2020 kulikuwa na jumla ya misikiti 2,769 nchini humo.
Habari ID: 3473981    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/05

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia ametetea amri yenye utata aliyoitoa ya kupunguza sauti katika adhana misikiti ni.
Habari ID: 3473969    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01

TEHRAN (IQNA)- Misikiti saba imefungwa kwa muda katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh baada ya waumini saba kuambukizwa Corona au COVID-9.
Habari ID: 3473669    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mingine 8 imefungwa kwa muda maeneo mbali mbali ya Saudia kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3473649    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/14