iqna

IQNA

arafat
Mlima Arafat ulijaa mamia kwa maelfu ya mahujaji Waislamu siku ya Jumanne, kuashiria kilele cha ibada ya hija.
Habari ID: 3477208    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/28

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Baadhi ya Waislamu mwaka huu leo wanaadhimisha Siku ya Idul Adha lakini kwa engine leo ni Siku ya Arafa kwa kutegemea mwandamo wa mwezi katika maeneo hayo.
Habari ID: 3475478    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09

Ibada ya Hija
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu leo wamesimama katika uwanja wa Arafa hii, kisimamo hicho kikiashiria kilele cha ibada tukufu ya Hija.
Habari ID: 3475475    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08

Kiongozi Muadhamu Katika Ujumbe wa Hija
TEHRAN (IQNA)- Katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Magharibi zenye kiburi zimezidi kudhoofika siku baada ya siku katika eneo letu nyeti, na hivi karibuni katika dunia nzima.
Habari ID: 3475473    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Hija ni fursa bora ya mahali na wakati kwa Umma wa Kiislamu kutangaza misimamo kuhusu kadhia ya Palestina, msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471094    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/30

Tuko katika mnasaba wa siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhulhija ambayo ni fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira.
Habari ID: 3470558    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/11