iqna

IQNA

kuwait
TEHRAN (IQNA)-Misikiti nchini Kuwait imeanza kutekeleza kanuni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 baada ya maambukizi kuongezeka nchini humo.
Habari ID: 3474778    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imeandaa mashindano ya mabingwa wa Qur’ani katika kategoria za wanawake na wanaume.
Habari ID: 3474714    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Kuwait wa kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo.
Habari ID: 3474643    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imetangaza kuwa darsa za Qur’ani na kidini pamoja na harakati nyingine za kiutamaduni zitaruhusiwa tena ndani ya misikiti.
Habari ID: 3474519    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuchapisha Qur’ani Tukufu nchini Kuwati imechapisha Juzuu ya 30 ya Qur’ani Tukufu kwa hati za Baraille au maandishi nukta nundu.
Habari ID: 3474279    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Wakfu la Kuwait limetangaza kuwa Duru ya 24 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yanafanyika nchini humo.
Habari ID: 3474232    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuhuisha Turathi za Kiislamu ya Kuwait imesambaza mamia ya Misahafu na vitabu vya Kiislamu nchini Comoro.
Habari ID: 3474150    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni mpya ya Qur'ani iliyopewa jina la 'Ayatul Ahkam' imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3473990    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08

TEHRAN (IQNA) – Spika wa Bunge la Kuwait amesema nchi hiyo haina nia ya kufunga misikiti tena ili kuzuia kuenea kirusi cha corona au COVID-19.
Habari ID: 3473632    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/08

TEHRAN (IQNA) – Mtaalamu maarufu wa kisiasa Kuwaita amelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia na Israel na kutaja hatua hiyo kuwa sawa na ukoloni mamboleo.
Habari ID: 3473257    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/13

TEHRAN (IQNA)- Amir mpya wa Kuwati amelitaka baraza la mawaziri nchini humo kuendelea na majukumu yake na matayarisho ya uchaguzi mwaka huu baada ya waziri mkuu kujiuzulu.
Habari ID: 3473236    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/06

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah ameteuliwa kuwa amiri mpya wa Kuwait baada ya kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad Jabir as-Swabah.
Habari ID: 3473218    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/30

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Kuwait Emir Sheikh Sabah Al Ahmad Al Sabah amefariki dunia na punde baada ya hilo kubainika, televisheni ya nchi hiyo ilikatiza matangazo ya kawaida na kuanza kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473215    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/29

TEHRAN (IQNA) – Mfalme Salman wa Saudi Arabia amelazwa hospitalini katika mji mkuu wa nchi hiyo, Riyadh kutokana na matatizo ya kibofu cha nyongo.
Habari ID: 3472981    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/20

TEHRAN (IQNA) – Kuwait imesema inapanga kuruhusu tena Swala za Ijumaa wiki hii, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Habari ID: 3472965    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kuwait imefunga kwa muda misikiti nchini na kubadilisha adhana kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472570    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16

TEHRAN (IQNA) – Vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu nchini Kuwait vimefungwa kwa kuhofia kuenea kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472515    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/29

TEHRAN (IQNA) – Kituo kipya cha kuchapisha Qur'ani Tukufu kitafunguliwa katika wilaya ya Sabhan mkoani Mubarak al-Kabeer.
Habari ID: 3472506    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/26

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait, maarufu kama Zawadi ya Kuwait, yalianza Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471462    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/12

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Kuwait yanatazamiwa kuanza katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi mnamo Aprili 10.
Habari ID: 3471446    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/28