TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umelaaniwa vikali kwa kupitisha sheria mpya ya kibaguzi ambayo inatambua Mayahudi kama bora kuliko Waarabu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3471601 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/20