iqna

IQNA

allahabad
TEHRAN (IQNA)- Watawala wa jimbo lenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini India wamebadilisha jina la Kiislamu wa mji wa kihistoria ambao unajulikana kama Allahabad na kuupachika jina bandia la Kibaniani au Kihindu.
Habari ID: 3471714    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/20