Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kimatiafa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu Ayatollah Mohsen Araki ametoa wito kwa wanazuoni wa Kiislamu kufuatilia suala la kuundwa Umoja wa Nchi za Kiislamu.
2015 Oct 11 , 11:00
Baada ya kupita wiki mbili
Hatimaye baada ya kupita muda wa wiki mbili, Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina.
2015 Oct 09 , 22:16
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na kusema kuwa taifa la Yemen litapambana hadi kupata ushindi.
2015 Oct 09 , 22:10
Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametoa ujumbe tofauti kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Iran.
2015 Oct 09 , 22:00
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Marekani inasaka fursa ya kupenya na kulazimisha matakwa yake kwa taifa la Iran.
2015 Oct 08 , 06:10
Misikiti Marekani imetakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na kuimarishwa usalama kutokana na ghasia zinazotazamiwa kuibuliwa Oktoba 10 na makundi ya watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu ambao wataandamana siku hiyo.
2015 Oct 07 , 16:59
Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wameshambulia kwa bomu Masjid Nur jana Jumanne katika mtaa wal al-Nahda katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a ambapo watu saba wamepoteza maisha.
2015 Oct 07 , 16:31
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa upuuzaji na uzembe wa utawala wa Aal Saud ndio chanzo kikuu cha kujiri maafa ya Mina na kupoteza maisha maelfu ya mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu.
2015 Oct 07 , 16:12
Imedokezwa kuwa Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amelazwa hospitalini mjini Riyadh na sasa yuko katika hali mahututi.
2015 Oct 06 , 18:45
Tarehe 24 Septemba katika siku kuu ya Idul Adha wakati zilipoenea habari za kukanyagana na kuzimia baadhi ya Mahujaji huko Mina, hakuna aliyedhani au kuamini kuwa tukio hilo lingegeuka na kuwa maafa makubwa na ya kuogofya ambayo yameshuhudiwa.
2015 Oct 05 , 10:22
Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
2015 Oct 03 , 20:37
Watoto wapatao 505 wameuawa nchini Yemen kufuatia hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu.
2015 Oct 03 , 17:53
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lazima ukweli wa maafa ya Mina, Saudia ubainishwe kupitia tume ya uchunguzi itakayosimamiwa na nchi za Kiislamu.
2015 Oct 03 , 17:49