Habari Maalumu
IQNA – Makao Makuu ya Ziyara ya Arbaeen nchini Iran, katika taarifa yake, yametangaza mipaka ya kutokea na kuingia kwa mazuwar wa kigeni wa Arbaeen ya...
15 Jul 2026, 21:56
IQNA – Uwepo wa mamilioni ya waumini katika misafara ya mazishi iliyofanyika nchini Iran na Iraq kwa ajili ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu,...
14 Jul 2026, 16:56
IQNA – Chuo Kikuu cha Qur’ani na Shule ya Mafunzo ya Kidini cha Juu kimefunguliwa katika mji wa Rida, mkoani Bayda, nchini Yemen, Jumapili.
14 Jul 2026, 17:29
IQNA – Vatikani (Vatican) imekataa jaribio la balozi wa utawala wa Trump katika Vatikan la kuwasilisha ukosoaji wa Papa Leo wa XIV dhidi ya vita vya Marekani...
14 Jul 2026, 17:05
IQNA – Makumbusho mapya katika Eneo la Kitamaduni la Hira jijini Makka yanawazamisha wageni katika bahari ya historia ya uandishi wa Qur’ani Tukufu.
14 Jul 2026, 17:23
IQNA – Maktaba ya Alexandria imeandaa kongamano lililopewa anuani ya: “Usomaji wa Qur’ani nchini Misri; Utafiti wa Ukuzaji na Kuporomoka Kwake,” ikiwa...
14 Jul 2026, 17:17
IQNA – Waandaji wa Maonyesho ya Halal ya nchi za D-8 nchini Indonesia (D-8 HEI) 2026 wametangaza kuhitimishwa rasmi kwa hafla hiyo siku ya Jumapili, wakiripoti...
13 Jul 2026, 17:20
IQNA – Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) limeandaa tuzo ya 12 ya Kimataifa ya Arbaeen mwaka huu.
13 Jul 2026, 17:07
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vienna, jijini Vienna nchini Austria, kimekaribisha makundi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali nchini humo siku kadhaa...
13 Jul 2026, 16:59
IQNA – Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ardhi za Palestina Zinazokaliwa kwa Mabavu, Francesca Albanese, ametoa wito siku ya Jumapili kwa hati...
13 Jul 2026, 16:54
IQNA – Kundi la waumini wanaotekeleza Hija ndogo ya Umrah lilitembelea siku ya Jumamosi Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur’ani Tukufu mjini Madina.
13 Jul 2026, 16:51
IQNA – Kituo cha Qur’ani cha Al-Nour kilichopo kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kinaendelea na shughuli zake za kutoa elimu ya Kiislamu licha ya changamoto...
12 Jul 2026, 20:46
IQNA – Askofu wa Kanisa la Othodoksi la Bishkek, nchini Kyrgyzstan, amemwelezea Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei,...
12 Jul 2026, 20:29
IQNA-Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo asubuhi vimetekeleza operesheni ya pamoja ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi...
12 Jul 2026, 09:42
IQNA – Toleo la 20 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI linatarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 10 hadi 12 Agosti, 2026.
12 Jul 2026, 09:54
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, ameeleza shukrani zake za dhati kwa mahudhurio “ya kustaajabisha, yenye kuvunja...
11 Jul 2026, 16:40