IQNA

Mji  wa Isfahan, Iran wafunikwa kwa theluji

Mji wa Isfahan, Iran wafunikwa kwa theluji

IQNA – Mji wa kihistoria wa Isfahan, katikati ya Iran, uliamka Ijumaa, tarehe 19 Disemba 2025, ukishuhudia mandhari ya kuvutia pale theluji ya kwanza ya vuli ilipolala juu ya mandhari zake maarufu. Upepo wa theluji laini ulienea katika mji huo ambao ni maarufu Kiajemi kama Nisfe Jehan yaani “Nusu ya Dunia." Neema hiyo ya mmwenyezi Mungu ilieneza furaha na kuleta bashasha halisi mitaani.
21:15 , 2025 Dec 21
Israel yalaaniwa baada ya kushambulia sherehe ya harusi Gaza

Israel yalaaniwa baada ya kushambulia sherehe ya harusi Gaza

IQNA- Utawala haramu wa Israel unaendelea kulaaniwa vikali  baada ya kushambulia kikatili sherehe ya harusi Gaza huku shirika mashuhuri la haki za kiraia za Waislamu nchini Marekani likitaka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.
21:07 , 2025 Dec 21
Saudi Arabia Yazindua Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

Saudi Arabia Yazindua Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

IQNA-Mashindano ya 27 ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yameanza nchini Saudi Arabia.
21:03 , 2025 Dec 21
Wanafunzi Warejea Chuo Kikuu cha Kiislamu Gaza Kilichoharibiwa Baada ya Miaka Miwili

Wanafunzi Warejea Chuo Kikuu cha Kiislamu Gaza Kilichoharibiwa Baada ya Miaka Miwili

IQNA-Wakipita njia zilizozungukwa na majengo yaliyoharibiwa na vifusi, wanafunzi Wapalestina wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Gaza wiki hii wamerudi darasani kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili.
21:00 , 2025 Dec 21
“Dawlat al-Tilawa” Yasifu Huduma za Qur’an za Marehemu Qari Sheikh Mustafa Ismail

“Dawlat al-Tilawa” Yasifu Huduma za Qur’an za Marehemu Qari Sheikh Mustafa Ismail

IQNA--Katika kipindi cha wiki hii cha televisheni ya Qur’an nchini Misri, Dawlat al-Tilawa, sehemu maalum ilitengwa kumuenzi marehemu Qari mashuhuri Sheikh Mustafa Ismail kwa huduma zake za Qur’ani.
20:56 , 2025 Dec 21
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Bangladesh: Qari wa Iran Ashika Nafasi ya Pili

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Bangladesh: Qari wa Iran Ashika Nafasi ya Pili

IQNA-Wawakilishi wa Iran walikuwa miongoni mwa washindi wakuu katika mashindano ya nne ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyofanyika Bangladesh.
20:53 , 2025 Dec 21
Jinsi Istighfar Inavyoathiri Maisha ya Duniani

Jinsi Istighfar Inavyoathiri Maisha ya Duniani

IQNA – Kuamini athari ya kiroho katika maisha hakumaanishi kupuuza nafasi ya sababu za kimaada, bali kunamaanisha kuwa sambamba na mambo ya kimaada, yapo pia mambo ya kiroho kama Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) ambayo yana athari.
15:04 , 2025 Dec 20
Nakala 20,000 za Tafsiri ya Qur’ani kwa Kitamil zachapishwa nchini Malaysia

Nakala 20,000 za Tafsiri ya Qur’ani kwa Kitamil zachapishwa nchini Malaysia

IQNA – Malaysia imeanza kuchapisha nakala 20,000 za Qur’an Tukufu zikiwa na tarjuma ya Kitamil.
14:55 , 2025 Dec 20
Filamu ya Akili Mnemba (AI) Yaeleza Maisha ya Qari Abdul Basit

Filamu ya Akili Mnemba (AI) Yaeleza Maisha ya Qari Abdul Basit

IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limezindua filamu fupi inayoelezea maisha ya marehemu qari Abdul Basit Abdulsamad, kwa kutumia teknolojia ya akili bandia kuonesha hatua muhimu tangu kuzaliwa kwake hadi kufariki.
14:48 , 2025 Dec 20
Usajili wa Mashindano ya Qur’an Nchini Misri Waaanza

Usajili wa Mashindano ya Qur’an Nchini Misri Waaanza

Mashindano haya yatafanyika katika kipengele cha kuhifadhi Qur’an kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka vituo vya mafunzo ya kuhifadhi Qur’an kote Misri.
14:07 , 2025 Dec 20
Vitu binafsi vya marehemu Qari Abdul Basit vimewekwa katika Makumbusho ya Maqari wa Qur’an nchini Misri

Vitu binafsi vya marehemu Qari Abdul Basit vimewekwa katika Makumbusho ya Maqari wa Qur’an nchini Misri

IQNA – Mkusanyiko wa vitu binafsi vya qari maarufu Sheikh Abdul Basit Abdul Samad ni miongoni mwa maonyesho katika Jumba la Makumbusho ya Maqari wa Qur’an nchini Misri.
13:55 , 2025 Dec 20
Wayamani walaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Marekani

Wayamani walaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu Marekani

IQNA – Mashirika na taasisi mbalimbali za Kiyemeni yamelaani kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilisha Qur’an Tukufu nchini Marekani, na yameunga mkono mwito wa kiongozi wa Ansarullah (Houthi) wa kufanya maandamano ya kulaani kitendo hicho cha kufuru.
15:28 , 2025 Dec 19
Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’an yaanza Oman

Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’an yaanza Oman

IQNA – Mashindano ya kwanza ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’an yenye kauli mbiu “Fa Istamasik: Shikamana na Qur’an” yameanza rasmi nchini Oman.
15:15 , 2025 Dec 19
Uwanja wa Bibi Zahra (SA) katika Haram ya Imam Ali (AS), upanuzi mkubwa zaidi wa eneo takatifu la Kiislamu

Uwanja wa Bibi Zahra (SA) katika Haram ya Imam Ali (AS), upanuzi mkubwa zaidi wa eneo takatifu la Kiislamu

IQNA – Eneo  mpya katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, ambalo linatambuliwa  kwa ukubwa wake wa kipekee na sifa bainifu za usanifu wa Kiislamu, umezinduliwa rasmi Jumanne huko Najaf, Iraq.
15:09 , 2025 Dec 19
‘Mchakato Uliojaa Kasoro’: Jumuiya ya Waislamu yapinga marufuku ya Hijabu Ubelgiji

‘Mchakato Uliojaa Kasoro’: Jumuiya ya Waislamu yapinga marufuku ya Hijabu Ubelgiji

IQNA – Jumuiya mashuhuri ya Waislamu nchini Ubelgiji imetangaza kuwa itawasilisha rufaa katika Baraza la Nchi (Council of State), mahakama ya juu kabisa ya kiutawala nchini humo, ikilenga kubatilisha marufuku ya hijabu iliyorejeshwa hivi karibuni katika shule za mikoa ya East Flanders.
14:37 , 2025 Dec 19
1