IQNA-Kongamano kubwa na la aina yake la Qur'ani Tukufu imefanyika katika mji wa pwani wa Tanga nchini Tanzania na kuwavutia hadhirina kutokana na usomaji wa kipekee wa Tajweed na wa kupendeza.
IQNA – Raundi ya mwisho ya mashindano ya Qur’an kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran, toleo la 39, imeanza rasmi Jumamosi kwa hafla maalum ya uzinduzi.
IQNA – Msanii mmoja kutoka Iran ameielezea namna uzuri wa kiroho wa Qur’an Tukufu unavyoendelea kumvutia na kumtia hamasa katika kazi yake ya sanaa ya kitamaduni ya tadhib au tazhib (mapambo ya Qur’an kwa dhahabu), ambayo ni miongoni mwa sanaa za Kiislamu za kale zinazotumika kupamba kurasa za Qur’an Tukufu.
IQNA – Mfululizo wa mifumo ya kiteknolojia ya hali ya juu umetangazwa rasmi kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa mahujaji katika Msikiti Mtakatifu wa Makkah kabla ya Hija ya mwaka 1446 Hijri (2025).
IQNA – Qari maarufu wa Qur'ani nchini Misri, Sheikh Al-Sayyid Saeed, anayefahamika kwa lakabu ya “Sultan al-Qurra” (Mfalme wa Wasomaji wa Qur’an), amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda.
IQNA – Katika aya mbalimbali za Qur’ani, ibada za Hija kama Tawafu (kuzunguka Kaaba), kuchinja (udhiya), na nyinginezo, zimeelezwa kuwa sehemu ya ibada za mja kwa Mwenyezi Mungu.
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, katika mkutano na maafisa wa Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican huko mjini Rome, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kukomesha uhalifu unaoendelea kutendwa na utawala katili wa Israel huku Gaza, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inafika katika eneo hilo lililozingirwa.
IQNA – Mkutano wa kimataifa utakaofanyika Baku mnamo Mei 26–27 utawaleta pamoja wataalamu wa kimataifa ili kujadili changamoto inayoongezeka ya chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia.
IQNA – Zeynab al-Sadat Savadkouhi, binti aliyehifadhi Qur’ani Tukufu, amebainisha jinsi kujikita kwake kwa kina katika kitabu kitakatifu kumeathiri kwa kiwango kikubwa maisha yake ya kitaaluma na binafsi.
IQNA – Toleo la 30 la Tamasha la Kimataifa la Qur'ani na Hadithi la Al-Mustafa limehitimishwa nchini Tanzania kwa hafla maalum ya kufunga, ambapo washiriki bora wa tukio hilo walitunukiwa.
IQNA – Mashindano yajayo ya Qur’ani ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yatafanyika katika sehemu tatu kuu, na kwa mara ya kwanza yatafungua milango kwa washiriki wa kike.
IQNA – Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sistani, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza shughuli za hisani kwa moyo wa kujitolea.
IQNA – Maandalizi ya maadhimisho a kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Jawad (AS) katika mji mtakatifu wa Kadhimiya yalipitiwa upya katika mkutano wa hivi karibuni.
IQNA – Wizara ya Wakfu ya Syria imeandaa mashindano ya kwanza nchini humo ya kukamilisha usomaji wa Qur’ani nzima kwa siku moja, yakivutia mamia ya wahifadhi wa kiume na wa kike katika misikiti mitatu mikubwa kwenye mji mkuu.