IQNA

Istighfār katika Qur’ani Tukufu na Hadith

Istighfār katika Qur’ani Tukufu na Hadith

IQNA-Neno Istighfār (kuomba msamaha) limetokana na mzizi wa Kiarabu ghafara ambalo maana yake ni “kufunika” au “kufunika kwa ulinzi.” Kwa hivyo, istighfār katika Kiarabu ni kusihi na kuomba kufunikwa dhambi na makosa.
21:35 , 2025 Dec 06
Kijana Muirani Asema Qur’ani Tukufu mempa Nguvu ya Kusomea Udaktari

Kijana Muirani Asema Qur’ani Tukufu mempa Nguvu ya Kusomea Udaktari

IQNA – Milad Asheghi, mhifadhi kamili wa Qur’ani Tukufu na mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa udaktari kutoka Tabriz, Iran, amesema Qur’ani Tukufu imekuwa nguvu thabiti iliyomwongoza kupitia changamoto za masomo ya udaktari.
21:16 , 2025 Dec 06
Kitabu Kipya Malaysia Chatoa Tafakuri za Dakika Mbili Kila Siku Kuhusu Qur’ani Tukufu

Kitabu Kipya Malaysia Chatoa Tafakuri za Dakika Mbili Kila Siku Kuhusu Qur’ani Tukufu

IQNA – Kitabu kipya chenye tafakuri fupi 365 za kila siku kuhusu Qur’ani kimezinduliwa mjini Petaling Jaya, Malaysia, siku ya Ijumaa.
20:54 , 2025 Dec 06
Kiongozi wa Al-Azhar aeleza umuhimu wa kuhifadhi Qur’ani katika kufikisha ujumbe wa Uislamu duniani

Kiongozi wa Al-Azhar aeleza umuhimu wa kuhifadhi Qur’ani katika kufikisha ujumbe wa Uislamu duniani

IQNA – Sheikh Ahmed Al-Tayeb, Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri, amesisitiza kuwa kuzingatia kuhifadhi Qur'ani Tukufu ni msingi wa kujenga kizazi kipya cha vijana wenye uwezo wa kubeba ujumbe wa wema, rehema na amani – kiini cha risala ya Uislamu kwa ulimwengu.
19:58 , 2025 Dec 06
Utafiti waonyesha kuongezeka kwa ubaguzi wa kidini dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa

Utafiti waonyesha kuongezeka kwa ubaguzi wa kidini dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa

IQNA – Utafiti mpya wa kitaifa umebaini kuwa Waislamu nchini Ufaransa wanaripoti viwango vya juu zaidi vya ubaguzi wa kidini kuliko makundi mengine yote.
19:50 , 2025 Dec 06
Mpango wa Elimu Brazil Wakulenga Kuimarisha Uhusiano wa Watoto na Qur’ani Tukufu

Mpango wa Elimu Brazil Wakulenga Kuimarisha Uhusiano wa Watoto na Qur’ani Tukufu

IQNA – Kituo cha Kimataifa cha Uislamu kwa Uvumilivu na Amani nchini Brazil kimeanzisha mpango maalumu wa kielimu wiki hii katika uwanja wa tafsiri ya Qur’ani Tukufu na kusoma Hadith za Mtume (SAW).
16:45 , 2025 Dec 05
Profesa Abdulaziz Sachedina: Ujumbe wa Imam Khomeini (RA) Uliotokana na Qur’ani

Profesa Abdulaziz Sachedina: Ujumbe wa Imam Khomeini (RA) Uliotokana na Qur’ani

IQNA – Katika mahojiano ya mwaka 2015, Profesa Abdulaziz Sachedina, aliyewahi kufundisha masomo ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha George Mason, Virginia, Marekani, alisema kuwa ujumbe wa Imam Khomeini (RA), uliotokana na Qur’ani Tukufu, ulikuwa wa kiulimwengu na uliwahusu Waislamu wote.
16:35 , 2025 Dec 05
Polisi wa Leicestershire, Uingereza wazindua Hijabu maalumu kwa maafisa wa kike Waislamu

Polisi wa Leicestershire, Uingereza wazindua Hijabu maalumu kwa maafisa wa kike Waislamu

IQNA – Jeshi la Polisi la Leicestershire nchini Uingereza limeanza kutumia hijabu maalumu kwa maafisa wa kike Waislamu, likishirikiana na Chuo Kikuu cha De Montfort (DMU).
15:49 , 2025 Dec 05
Bunge la Morocco lajadili uendelezaji wa Mafunzo ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

Bunge la Morocco lajadili uendelezaji wa Mafunzo ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

IQNA – Bunge la Morocco limefanya kikao maalumu kujadili hali ya taasisi na vituo vya Qur’ani vilivyobobea nchini humo katika kuendeleza elimu ya wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
15:37 , 2025 Dec 05
Usajili wa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar kwa Mashindano ya Qur’ani ya Port Said

Usajili wa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar kwa Mashindano ya Qur’ani ya Port Said

IQNA – Usajili wa wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar kwa mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Port Said umeanza rasmi.
15:29 , 2025 Dec 05
Al-Azhar: Abdul Basit Alikuwa Balozi wa Qur’ani

Al-Azhar: Abdul Basit Alikuwa Balozi wa Qur’ani

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimemuelezea marehemu qari mashuhuri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad kuwa balozi wa Qur’ani Tukufu.
16:40 , 2025 Dec 04
Ayatullah Khamenei: Tafsiri inayotoa Qur'ani kuhusu mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na kimaendeleo

Ayatullah Khamenei: Tafsiri inayotoa Qur'ani kuhusu mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na kimaendeleo

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
15:21 , 2025 Dec 04
Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025  jijini Kuala Lumpur

Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025 jijini Kuala Lumpur

IQNA – Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025 ukifunguliwa Kuala Lumpur mwishoni mwa wiki hii, ukitoa jukwaa la mazungumzo kati ya ujuzi wa kielimu wa kiroho na vitendo vya kiviwanda.
15:20 , 2025 Dec 03
Libya kuchapisha tena Mus’haf wa Taifa

Libya kuchapisha tena Mus’haf wa Taifa

IQNA – Mwenyekiti wa Kamati ya Qur’ani ya Jumuiya ya Ulinganiaji wa Kiislamu nchini Libya ametangaza kuchapishwa upya kwa Qur’ani ya taifa (Mus’haf wa Taifa wa Libya) kwa ajili ya kusambazwa bure kwa wananchi.
15:15 , 2025 Dec 03
Marufuku ya Hijabu kwa majaji Ujerumani yazua mjadala wa uhuru wa Kidini

Marufuku ya Hijabu kwa majaji Ujerumani yazua mjadala wa uhuru wa Kidini

IQNA – Kwa maamuzi kwamba Hijabu inapunguza taswira ya kutokuwa na upendeleo wa mahakama, jopo la majaji nchini Ujerumani limezuia mwanamke Mwislamu kuhudumu kama jaji.
15:06 , 2025 Dec 03
6