IQNA

Wakati Qari Al-Saadani wa Misri alipoacha kushirikiana na Redio ya Qur'ani

Wakati Qari Al-Saadani wa Misri alipoacha kushirikiana na Redio ya Qur'ani

IQNA: Sheikh Ahmed Suleiman al-Saadani alikuwa qari mashuhuri wa Misri na miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kurekodi kisomo chake.
14:50 , 2024 May 03
Msomi wa Lebanon: Shahidi Motahhari alipinga madai ya Wayahudi kuhusu umiliki  wa Palestina

Msomi wa Lebanon: Shahidi Motahhari alipinga madai ya Wayahudi kuhusu umiliki wa Palestina

IQNA – Ustadh Shahidi Murtadha Motahhari, katika hotuba na maandishi yake, alipinga vikali upotoshaji wa historia kwamba eti ardhi ya Palestina ni milki ya Wayahudi.
14:36 , 2024 May 03
Saudi Arabia yasema Kadi ya Nusuk itawezesha harakati za Mahujaji

Saudi Arabia yasema Kadi ya Nusuk itawezesha harakati za Mahujaji

IQNA – Saudi Arabia imezindua kadi ya Nusuk siku ya Jumanne, ikisema kwamba itawezesha harakati za Mahujaji wote katika maeneo matakatifu.
14:21 , 2024 May 03
Mtazamo wa Qur'ani kuhusu umuhimu wa kuepuka hofu katika nidhamu ya kihisia

Mtazamo wa Qur'ani kuhusu umuhimu wa kuepuka hofu katika nidhamu ya kihisia

IQNA – Mwenyezi Mungu amewahimiza watu waepuke hofu isiyo na msingi, kama vile kuwaogopa wengine, na ametuamrisha kuwa na Khashiya (unyenyekevu) kwake tu, na iwapo mwanadamu atafuata muongozo huu basi atajiepusha na fedheha na udhalilishaji wowote.
14:12 , 2024 May 03
Mvua kubwa yasababisha paa la Msikiti kuanguka Saudia + Klipu

Mvua kubwa yasababisha paa la Msikiti kuanguka Saudia + Klipu

IQNA - Paa la msikiti katika Chuo Kikuu cha Mfalme Fahd liliporomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Jumatano jioni huko Dhahran, Saudi Arabia.
11:28 , 2024 May 03
Klipu | Nitakuitikieni

Klipu | Nitakuitikieni

Mwanadamu ni mhitaji wa kila kitu. Je, tumuulize nani atukidhie mahitaji yetu na atuondolee matatizo tuliyonayo? Mwenyezi Mungu ambaye anajua mahitaji yetu anasema. " Na muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu."
11:18 , 2024 May 03
Harakati za wanafunzi kwa ajili ya kutetea Wapalestina Gaza katika vyuo vikuu kote Marekani

Harakati za wanafunzi kwa ajili ya kutetea Wapalestina Gaza katika vyuo vikuu kote Marekani

IQNA - Vuguvugu la wanafunzi wanaounga mkono Palestina, wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel, limeenea kote nchini Marekani licha ya ukandamizaji wa polisi, huku wanafunzi wa vyuo vikuu vingi kama vile Yale, New York, Harvard, Texas huko Austin, na Kusini mwa California wakijiunga nayo.
10:57 , 2024 May 03
Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji

Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji

IQNA – Qur’ani Tukufu inarejelea baadhi ya mifano ya nidhamu na utaratibu mkubwa katika uumbaji wa dunia ili kuwaalika watu kutafakari na kuwaongoza hadi kwa Yule aliyeumba nidhamu hii.
17:54 , 2024 May 02
Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi  ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani

Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani

IQNA – Sheikh Tantawi Jawhari alikuwa mwanazuoni mashuhuri wa Misri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu ambaye kazi yake kuu ilikuwa Al-Jawahir fi Tafsir al-Quran al-Karim.
17:40 , 2024 May 02
UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano

UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano

IQNA: Wakati kukiwa na ongezeko la wito wa kimataifa kwa Israel kujizuia na mashambulizi zaidi Gaza na ripoti za Mei Mosi za mashambulizi mengine mabaya, wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza kuhusu athari mbaya zinazoendelea za vita hiyo na haja ya kuhakikisha njia za kuaminika za usambazaji wa misaada kwa watu wanaohitaji kwa udi na uvumba zinapatikana.
17:30 , 2024 May 02
Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

IQNA – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema Uislamu ni mtetezi wa kweli wa haki za binadamu zikiwemo za wanawake.
17:20 , 2024 May 02
Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar

Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar

IQNA - Operesheni ya ujenzi wa kituo cha Kiislamu na Qur'ani kwa wanawake ilianza katika sherehe nchini Qatar.
23:37 , 2024 May 01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu.
18:02 , 2024 May 01
Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an

Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an

IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imerejesha programu yake ya kila siku ya Khatmul Qur'an.
20:59 , 2024 Apr 30
Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris

Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris

IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris ulimkosoa waziri mkuu wa Ufaransa kwa matamshi yake ya hivi karibuni ya chuki dhidi ya Uislamu.
20:53 , 2024 Apr 30
1