IQNA – Taasisi ya Dar al-Ifta (Idara ya Fatwa) ya nchini Misri imesisitiza kuwa sherehe za maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW), maarufu kama Maulidi, ni utamaduni uliokita mizizi nchini humo.
Habari ID: 3482665 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/23
IQNA – Salah al-Jamal ni daktari kutoka Misri ambaye amepata mafanikio makubwa katika nyanja za kuhifadhi na kusoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3482655 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/21
IQNA – Msemaji wa Wizara ya Wakfu nchini Misri ametangaza ujenzi au ukarabati wa misikiti takriban 15,000 nchini humo tangu mwaka 2014.
Habari ID: 3482654 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/21
IQNA – Siku ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani itaadhimishwa baadaye mwezi huu chini ya usimamizi wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri.
Habari ID: 3482644 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/18
IQNA – Shirika la Kitaifa la Vyombo vya Habari la Misri limetangaza kuzinduliwa kwa kipindi kipya chenye kichwa cha habari “Imam Mkuu”, kilichotengwa mahususi kwa ajili ya hotuba na mawaidha ya Maimamu wa Al-Azhar katika miongo kadhaa iliyopita.
Habari ID: 3482639 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17
IQNA – Siku ya pili ya mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Dawlet El Telawa nchini Misri ilishuhudia uwezo mkubwa na maonyesho ya kuvutia kutoka kwa washiriki kadhaa.
Habari ID: 3482616 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/12
IQNA – Yousef, kijana kutoka Bahira nchini Misri, amewavutia wengi kwa sauti yake ya usomaji Qur’ani Tukufu na ameendeleza kipawa chake kwa kusikiliza qiraa za maqari mashuhuri kupitia mtandao. Anaota ndoto siku moja kuwa miongoni mwa majina makubwa katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani na kufuata nyayo za Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3482609 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/10
IQNA – Waziri wa Awqaf wa Misri ametoa ujumbe wa rambirambi kufuatia kifo cha Sheikh Saeed al-Najjar, msomaji mkongwe zaidi wa Qur’ani katika Mkoa wa Gharbia.
Habari ID: 3482584 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/04
IQNA – Sheikh Awad Abdullah Al-Faradi si mshiriki mwenye umri mkubwa zaidi pekee, bali pia ndiye aliyewavutia na kuwapa hamasa kubwa zaidi wengi katika Mashindano ya televisheni ya Qur’ani Tukufu ya Misri ambayo ni maarufu kama Dawlat al-Tilawa.
Habari ID: 3482541 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/26
IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imeadhimisha kumbukumbu ya kukamilika kwa rekodi ya kwanza ya kisomo au qiraa ya Tartil ya Qur’ani Tukufu mnamo Julai 23, 1961.
Habari ID: 3482539 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/26
IQNA – Gavana wa Dakahlia, nchini Misri, amemtunuku nakala ya Qur’ani Tukufu Imam Ashour, mchezaji wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Al-Ahly, ikiwa ni ishara ya kutambua juhudi zake katika Kombe la Dunia la mwaka 2026.
Habari ID: 3482508 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19
IQNA – Programu ya ‘Noor’, inayorushwa kupitia Kituo cha Televisheni cha Naas nchini Misri, iliwasilisha ujumbe wa elimu na malezi kwa mtindo rahisi kwa ajili ya watoto katika kipindi chake kipya siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3482507 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19
IQNA – Msururu wa usomaji wa Qur’ani wenye kuvutia ambao uliwapagawisha majaji na hadhira kwa pamoja umeshuhudiwa katika raundi za awali za msimu wa pili wa shindano la “Dawlet El-Tilawa” (Dola ya Usomaji) nchini Misri. Tukio hili linadhihirisha kipaji cha kipekee na juhudi za hali ya juu za washiriki kutoka sehemu mbalimbali za nchi hiyo katika kulihudumia Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3482503 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/18
IQNA – Maktaba ya Alexandria imeandaa kongamano lililopewa anuani ya: “Usomaji wa Qur’ani nchini Misri; Utafiti wa Ukuzaji na Kuporomoka Kwake,” ikiwa ni sehemu ya programu ya kiutamaduni katika Maonesho ya Vitabu ya Kimataifa ya maktaba hiyo.
Habari ID: 3482485 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/14
IQNA – Idara ya Taasisi za Kituo cha Kiislamu cha Al‑Azhar imeanzisha mpango wa kugawa nakala za Qur’ani Tukufu kwa Maktab (vituo vya jadi vya kuhifadhi Qur’ani) kote nchini Misri.
Habari ID: 3482390 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/22
IQNA – Wiki hii imeadhimisha kumbukumbu ya kuaga dunia kwa mmoja wa mabingwa wakubwa wa madrasah ya Misri katika sanaa ya usomaji wa Qur’ani, Sheikh Mohammad Siddiq Al‑Minshawi. Tukio hili linawakumbusha Waislamu kuhusu qiraa yake ya kina na yenye ikhlasi ambayo hadi leo inaendelea kusikika na kugusa nyoyo katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3482385 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/21
IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imeadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa marehemu Sheikh Mustafa Ismail, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3482384 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/21
IQNA – Baba na mwanae kutoka Misri waliokuwa washiriki katika Tuzo ya Qur’ani ya Al Ameed nchini Iraq wamekuwa miongoni mwa waliopata nafasi za juu katika shindano hilo la kimataifa la usomaji wa Qur’ani.
Habari ID: 3482368 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16
IQNA – Kisa hiki kinaanza katika miaka ya 1960, pale Sheikh Mohamed Siddiq Al‑Minshawi aliporekodi usomaji wa Qur’ani Tukufu yote kwa ajili ya Redio au Idhaa ya Qur’ani ya Misri.
Habari ID: 3482359 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/14
IQNA – Idhaa ya Qur’ani ya Misri kila siku katika kipindi chake cha jioni hurusha tilawa za Ibrahim Shasha’i, mwana wa qari mashuhuri wa Kimisri marehemu Sheikh Abdel Fattah Shasha’i.
Habari ID: 3482346 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/10