misri - Ukurasa 18

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
Habari ID: 3473687   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/27

TEHRAN (IQNA) – Mohammad al-Fardi ni baba Mmisri ambaye watoto wake wote 8 wamehifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473678   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Alim Fasada ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Habari ID: 3473567   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA) - Ndege a kivita za Ethiopia zilivuka mpaka na nchi jirani ya Sudan katika kile ambacho Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imekitaja kuwa ni taharuki hatari na isiyo na sababu.
Habari ID: 3473555   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/14

TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya Qur’ani ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) imezindua kipindi kipya cha kurusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya wasomaji maarufu wa Misri.
Habari ID: 3473542   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/10

TEHRAN (IQNA) Hivi karibuni Televisheni ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha hewani qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikh Abdul Fattah Taruti wa Misri.
Habari ID: 3473485   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23

TEHRAN (IQNA)- Qiraa ya Qur’ani Tukufu ya qarii wa Misri marhum Sheikh Ahmed Mohammed Amer hivi karibuni imerushwa hewani katika televisheni ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3473469   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18

TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.
Habari ID: 3473459   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15

TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti alishiriki katika kikao ambacho alisoma aya moja katika Sura al-Furqan ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473431   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/07

TEHRAN (IQNA)- Familia ya qarii maarufu zaidi wa Qur’ani Tukufu wa Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad imeitunuku Radio ya Qur’ani ya Misri kanda za qiraa ya qarii huyo.
Habari ID: 3473384   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22

TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu Cairo, Misri ni hifadhi kubwa zaidi ya athari za sanaa za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3473375   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mustafa Ghalwash katika moja ya safari zake nchini Iran alisoma Qur’ani Tukufu mbele ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473369   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/17

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imeenea katika mitandao ya kijamii ikiwaonyesha ndugu watano wa familia moja wakisema ya za Qur'ani Tukufu za Surah al-Furqan.
Habari ID: 3473291   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia.
Habari ID: 3473221   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/01

TEHRAN (IQNA)- Klipu iliyopo hapa chini ni ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisoma Surah Al Qadr ya Qur'ani Tukufu mwaka 1965 katika Msikiti Imam Hussein (AS) mjini Cairo.
Habari ID: 3473212   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdel Fattah el Sisis wa Misri ameonya Jumapili kuhusu uchocheaji vurugu nchini humo huku maandamano dhidi ya serikali yakiripotiwa maeneo kadhaa nchini humo.
Habari ID: 3473206   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27

TEHRAN (IQNA) – Harakati za Qur’ani nchini Misri zimeanza leo Jumamosi kufuatia idhini ya Chuo Kikuu cha Al Azhar.
Habari ID: 3473205   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/26

TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni kumesambazwa qiraa yenye mvuto ya Qur'ani Tukufu ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmod Shahat Muhammad Anwar.
Habari ID: 3473184   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/19

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23