iqna

IQNA

pmu
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq (PMU) vimetoa mapigo makubwa kwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS) katika Jimbo la Diyala la nchi hiyo wakati wa msimu wa Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS
Habari ID: 3475807    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (PMU) kimegundi maroketi katika mji mtakatifu wa Karbala wakati siku ya Arbaeen inapokaribia huku idadi kubwa ya wafanyaziara wakiwa wamekusanyika kwenye mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3475775    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

TEHRAN (IQNA)- Chombo kimoja cha habari nchini Iraq kimetangaza kuwa, shambulio la magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) dhidi ya wapiganaji wa Al-Hashdu-Sha'abi katika mkoa wa Salahuddin limefanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani.
Habari ID: 3473586    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/24