iqna

IQNA

buibui
Sura za Qur'ani Tukufu/29
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu walijaribu kuonyesha jinsi miungu ya uongo isiyo na thamani lakini walikabili ukaidi wa wafuasi wao wengi. Surah Al-Ankabut katika Qur'ani Tukufu inalinganisha imani za watu hao waliopotoka na utando wa buibui .
Habari ID: 3475740    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06