israel - Ukurasa 46

IQNA

Sayyed Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wapalestina.
Habari ID: 3444016   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07

Amnesty yalaani ukatili wa Israel
Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameishambulia hospitali katika wa Quds, inaoukalia kwa mabavu, baada ya wakuu wa hospitali hiyo kukataa kutoa taarifa kuhusu Wapalestina waliotibuwa hapo.
Habari ID: 3415418   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30

Makumi ya maelfu ya raia wa Morocco wamefanya maandamano makubwa mjini Casablanca kupinga hujuma za utawala haramu wa Israel katika msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3395088   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya njama za Marekani, utawala ghasibu wa Israel na matakfiri katika Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3393522   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekosoa uchokozi wa wazi wa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu hasa katika msikiti wa al Aqsa ulio katika mji Quds au Jerusalem.
Habari ID: 3391462   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21

Jeshi la Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 46 tangu kuanza Intifadha au mwamko mpya mapema mwezi huu wa Oktoba.
Habari ID: 3390450   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/19

Jumapili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel waliushambulia na kuuvunjia heshima tena Msitiki wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu suala lililozusha mapigano makali baina ya askari hao na Waislamu waliokuwa msikiti hapo wakitekeleza ibada.
Habari ID: 3372690   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/28

Mufti wa Quds na ardhi za Palestina amewataka Wapalestina kushikamana kwa ajili ya kukabiliana na njama na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3365951   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21

Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama kujadili hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds.
Habari ID: 3365554   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20

Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleaza hujuma dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3365118   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19

Harakati za makundi yanayowaunga mkono wananchi wa Palestina na kutetea haki za binadamu dhidi ya safari iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na mazungumzo yake na viongozi wa Uingereza zimeshadidi na kushika kasi zaidi.
Habari ID: 3358320   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Kundi la magaidi na wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kwa mara nyingine wametishia kuibomoa al-Ka'aba katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3353091   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27

Utawala haramu wa Israel umeamuru kubomolewa milki tatu zaidi za Wapalestina, ukiwemo msikiti mmoja ulioko Quds Mashariki.
Habari ID: 3351059   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21

Kutokana na pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa ajili ya kuenzi Msikiti wa kihistoria wa al Aqsa, tarehe 21 Agosti imetangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
Habari ID: 3349544   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3344476   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la Kutetea Quds Tukufu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha machafuko na ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3342896   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Mufti Mkuu wa Quds
Mufti Mkuu wa Palestina ametoa wito wa kuhukumiwa wakuu wa wutawala wa Kizayuni wa Israel katika duru za kimataifa.
Habari ID: 3335935   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27

Shirika la Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC limetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhuckua hatua hatua za kivitendo kuzuia hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3335772   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27