Erbas aliadhini akiwa safarini Bulgaria mjini Plovdiv katika Msikiti wa Muradiya na klipu hiyo imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii.
Taasisi ya Diyanet ya Uturuki hujishughulisha na usimamizi wa masuala ya Qur'ani na kidini nchini humo na maeneo mengine duniani.