TEHRAN (IQNA)- Baraza la Jamii za Waislamu Duniani limeakhirisha Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu la Umoja wa Falme za Kiarabu baada ya kuibuka aina mpya ya kirusi cha COVID -19 ijulikanayo kama Omicron.
Habari ID: 3474618 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29
TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji wa Abuja, Nigeria wamepokea chanjo ya COVID -19 nje ya msikiti baada ya Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3474406 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10
TEHRAN (IQNA) – Kila mwaka kwa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia za wenyeji wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati hujumuika pamoja zaidi ya wakati wowote mwingine katika makwa.
Habari ID: 3472782 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19