Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi moja ya utafiti, Waislamu wa Uingereza wamepunguziwa hadhi ya u raia wao hadi hadhi ya "daraja la pili" kutokana na mamlaka iliyoongezwa hivi karibuni ya kuwavua watu utaifa au u raia wao.
Habari ID: 3475771 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12
TEHRAN (IQNA) – Asasi moja ya kufuatilia mambo ya vita imesema uchunguzi wake umebaini kuwa Jeshi la Marekani limeua raia 13,000 nchini Iraq na Syria katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
Habari ID: 3473376 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20
Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umetajwa kuwa unahusika moja kwa moja na mauaji ya raia wa nchi hiyo.
Habari ID: 3468864 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23
Saudi Arabia imeendeleza mashambulizi yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3342924 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14