iqna

IQNA

AMANI
Sira ya Mtume Muhammad
TEHRAN (IQNA) - Mapitio ya vitabu vya historia yanaonyesha kuwa vita vyote wakati wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) vilikuwa vya kujihami au kujitetea na kwamba hakuanzisha vita yoyote.
Habari ID: 3476040    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05

TEHRAN (IQNA)- Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai amepongeza mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Afghanistan na ujumbe wa wanamgambo wa Taliban ambayo yamefanyika wiki iliyopita Tehran.
Habari ID: 3474089    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.
Habari ID: 3473292    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24

TEHRAN (IQNA) - Kaimu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ana imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitisha mapigano nchini Libya kutokana na mazungumzo yanayoendelea kati ya pande hasimu.
Habari ID: 3473286    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22

TEHRAN (IQNA) – Nchi za mashariki mwa Afrika zimepongeza makubaliano ya amani baina ya Serikali ya Mpito ya Sudan na Muungano wa Harakati ya Kimapinduzi kutoka jimbo la Darfur na katika majimbo ya kaskazini ili kuhitimisha mgogoro wa miaka 17 nchini humo.
Habari ID: 3473134    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Luteni Jenerali Jamaleldin Omar, amefariki baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa Sudan Kusini katika mazungumzo ya amani baina ya serikali na waasi mjini Juba.
Habari ID: 3472599    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/25

Rais Rouhani
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa wametangaza utayarifu wa nchi hizo mbili kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya usalama na habari za kipelelezi katika fremu ya mapambano dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3454175    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18

Spika wa Bunge la Italia amesema kuwa, dini ya Kiislamu haipaswi kufungamanishwa na vitendo vya kufurutu mipaka vinavyofanywa na makundi ya kitakfiri na kigaidi kama vile Daesh na kusisitiza kwamba jamii ya kimataifa inapaswa kuelewa kwamba misingi ya dini ya Kiislamu ni kutangaza amani na upendo na inalaani ghasia na machafuko
Habari ID: 1461624    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/19